Pages

Ads 468x60px

Featured Posts

Monday, September 1, 2014

FIESTA NDANI YA MOSHI NI SHIDERRR.......

 Mmoja wa mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 pichani akitazama kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa la tamasha hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Moshi.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiimba kwa hisia jukwaani.
 Mashabikii wakishangilia jambo wakati wasanii mbalimbali wa tamasha la Fiesta 2014 wakiendelea kutumbuiza jukwaani.
 Mwanadada Feza Kessy akiimba jukwaani wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyka mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Majengo mjini Moshi.
 Sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Moshi.
 MKali wa kusugua ngoma,kutoka Clouds FM,Dj Zero akiwa kwenye mashine yake ya kazi
 Mashabiki wakisambaza upendo wa kutosha kabisa kwa wasanii wao waliokuwa wakitumbuiza jukwaani.
 Sehemu ya umati wa mashabiki wa tamasha la fiesta wakiwa wamemezwa vilivyo na jicho la samaki
 Wakazi wa jiji la Moshi walisambaza upendo wa kutosha ndani ya tamasha hilo ambalo hukusanyisha watu kutoka vitongoji mbalimbali ndani na nje ya mji wa Moshi.
 Mkali mwingine wa muziki wa Bongofleva,Ali Kiba akiwaimbisha mashabiki wake jukwaani.PICHA NA MICHUZIJR-FIESTA MOSHI

PICHA 30 ZA FIESTA NDANI YA MOSHI NI SHIDERRRRR BALAAAAA..............

Mo Music 
Imekua show ya tano kufanyika kwenye msimu wa dhahabu baada ya Mwanza, Bukoba, Kahama na Tanga kuishuhudia show ya Fiesta 2014 ikiwa ni Tour itakayotua kwenye mikoa 18 Tanzania. 

Shangwe zilipatikana kwa Wasanii mbalimbali waliopanda kwenye stage ya Serengeti Fiesta Moshi wakiwemo Chege na Temba, Stamina na Fid Q, Mo Music na wengine.

B12 kutoka XXL ya Clouds FM 

Dj Fetty na shangwe la Moshi kwenye stage 

Sunday, August 31, 2014

MAKAMUZI YA SERENGETI FIESTA MJINI MOSHI‏ NI NOMAAAAAA,YANI SHIDERRRRRR

Burudani zikiwa zimepamba moto katika Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Moshi usiku huu.
Chegge (kulia) na Mhe. Temba wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta Moshi.
Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na burudani za Serengeti Fiesta mjini Moshi.
Mwanadada Feza Kessy akifanya vitu vyake stejini katika Serengeti Fiesta mjini Moshi.

Saturday, August 30, 2014

MSHINDI WA SERENGETI SUPER NYOTA MOSHI

41fstmsh
Mashindano ya serengeti Super Nyota Divaz ambayo ni sehemu ya wasanii wachanga au vipaji vipya kuonekana kwa mikoani hasa upande wa wakina dada ambao wamekua wakiikosa fursa ya kuonekana yamemalizika kwa Moshi.
Mkoa wa Kilimanjaro,Manispaa ya Moshi imewakilishwa na msichana ambaye ana Rap,inaweza kuwa kwa sababu utamaduni wa Kaskazini ni hip hop lakini huyu ameonyesha kuipenda sana rap toka hatua ya mwanzo ya mashindano.
Wasichana waliojitokeza kwa Moshi ni wa 4 pekee ambao walionyesha uwezo wao mbele ya majaji wakiongozwa na Dj Fetty lakini Sia Mary alifanikiwa kuwashinda wenzake ambao baadhi yao walikua waki Rap pia.
Mshindi wa pili wa mashindano haya ambaye katoka Arusha kwa ajili ya kuyafuata mashindano haya amepewa ofa na Dj Mully B ya kumsaidia kimuziki kuanzia kurekodi audio mpaka video na kisha kumpeleka THT.
46fstmsh
Mshindi wa Serengeti Super Nyota Divaz Moshi Sia Mary.
44fstmsh