Mo Music
Imekua show ya tano kufanyika kwenye msimu wa dhahabu baada ya Mwanza, Bukoba, Kahama na Tanga kuishuhudia show ya Fiesta 2014 ikiwa ni Tour itakayotua kwenye mikoa 18 Tanzania.
Shangwe zilipatikana kwa Wasanii mbalimbali waliopanda kwenye stage ya Serengeti Fiesta Moshi wakiwemo Chege na Temba, Stamina na Fid Q, Mo Music na wengine.

B12 kutoka XXL ya Clouds FM

Dj Fetty na shangwe la Moshi kwenye stage

Chege na Temba kazini

YP alipanda kwenye stage na kina Chege

K Style

Jambo Squad

K wa Mapacha

Mapacha

Roma Mkatoliki

Fid Q kazini

Stamina na Fid Q walivyoongezea shangwe kwa kuungana pamoja kwenye stage

Ali Kiba

Dj Nelly

Dully Sykes

Adam Mchomvu wa XXL ya Clouds FM

Nay wa Mitego

Kalih wa CloudsTV kwenye 20 za Town

Producer Lamar alipata nafasi pia ya kucheza zile ReFIX zake.

Dj Zero na Lamar

Happy birthday Fetty Aug 31 ! hapa ni B12 aliitangaza birthday ya Fetty kwenye stage.

No comments:
Post a Comment