Friday, December 20, 2013
Sunday, October 27, 2013
ANGALIA HAPA YALIYOJIRI SERENGETI FIESTA MOSHI KILIMANJARO::




Msanii mkongwe katika
anga ya muziki wa kizazi kipya,Dully Sykes akiwaimbisha mashabiki wake
kibao waliofurika vilivyo ndani ya uwanja wa Majengo mjini Moshi

Kundi
la Weusi likiongozwa na Joe Makini wakilishambulia jukwaa
kwenye tamasha la serengeti fiesta uwanja wa Majengo mjini Moshi.

unakumbuka hiii?maandalizi ya fiesta jipanguse ndani ya laliga club 2010

Subscribe to:
Posts (Atom)