



Msanii mkongwe katika
anga ya muziki wa kizazi kipya,Dully Sykes akiwaimbisha mashabiki wake
kibao waliofurika vilivyo ndani ya uwanja wa Majengo mjini Moshi

Kundi
la Weusi likiongozwa na Joe Makini wakilishambulia jukwaa
kwenye tamasha la serengeti fiesta uwanja wa Majengo mjini Moshi.
